Show simple item record

dc.contributor.authorMaitaria, Joseph Nyehita
dc.contributor.authorWafula, Richard Makhanu
dc.date.accessioned2019-04-09T13:00:46Z
dc.date.available2019-04-09T13:00:46Z
dc.date.issued2018
dc.identifier.citationJournal of Linguistics and Language in Education Vo lume 12, Number 2 (2018)en_US
dc.identifier.urihttps://karuspace.karu.ac.ke/handle/20.500.12092/2233
dc.description.abstractMakala haya yanafafanua maudhui yaliyomo katika tungo za mashairi ya Abdilatif Abdalla kwa kuzingatia namna masuala ya utamaduni waWaswahili yanavyowasilishwa. Masuala hayo yanahusu namna wenyeji hao wanavyotangamana na wanavyoshughulikia maisha yao kwa ujumla. Kadhalika, ubainishaji wa vipengele hivyo vimewasilishwa kwa kuzingatia taijriba ya mtunzi kama mmoja katika jamii hiyo. Mashairi hayo yanapozingatiwa, inabainika kuwa; hisi za mtunzi zimedhibitiwa kwa lugha teule ya mafumbo inayojikita katika zaidi katika ‘lugha’ au ‘lafudhi’ yake ambayo ni lahaja ya Kimvita. Katika muktadha huu, jumbe hizo zinahitaji fasiri na maelezo kutokana na utamaduni wa mtunzi. Kwa mapana, mashairi hayo yana mwangwi unaogusia historia yataifa lake (hasa katika miaka ya baada ya 1963 nchini Kenya). Kwa maana hii, ushairi wa Abdilatif Abdalla unaweza kwa kihifadhi na kibainishaji cha vielelelzo vya utamaduni na uhalisi wa maisha ya jamii ya mtunzi. Katika kushughulikia uhusiano uliopo kati ya fasihi na utamaduni, makala haya yanaangazia baadhi ya mifano ya mashairi yaliyohifadhiwa katika Diwani ya Sauti ya Dhiki (1973). Mwishowe, inapependekeza namna mashari teule ya Kiswahili yanavyoweza kuwa hifadhi ya ‘viashiria’ vya ‘viishara’ vyatamaduni asilia katika jamii ya sasa.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherUniversity of Dar es Salaamen_US
dc.subjectp o e m sen_US
dc.subjectAbdilatif Abdallaen_US
dc.subjectcultureen_US
dc.subjectthe Swahilien_US
dc.subjectpoeten_US
dc.subjectlanguageen_US
dc.subjectrealen_US
dc.subjectbackgrounden_US
dc.titleUshairi wa Abdilatif Abdalla katika Kubainisha Utamaduni wa Waswahilien_US
dc.typeArticleen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record