Wanjugu, Milkah; Maitaria, Joseph Nyehita; Mwangi, Peter Kinyanjui(EANSO, 2023-07-08)
Mtunzi wa kazi ya kazi ya fasihi hususan riwaya na tamthilia, hutumia
mbinu mahususi kuwasilishia matukio na mawazo yanavyoshuhudiwa
katika jamii. Mbinu hizo huteuliwa na mtunzi kwa makusudi ili ujumbe
unaokusudiwa ...