Now showing items 1-1 of 1

    • Maongezi Katika Riwaya Za Kiswahili 

      Ng’etich1*, Daniel Kiprugut; Wafula1, Richard Makhanu; Maitaria1, Joseph Nyehita (Karatina University, 2022-08-08)
      IKISIRI Makala hii inaangazia dhima ya maongezi katika riwaya ya Kiswahili. Riwaya ni mojawapo wa tanzu muhimu za fasihi ya Kiswahili ambayo inaendelea kukua kwa upande wa wahusika, dhamira, maudhui, mtindo na upeo. ...