Department of Humanities and Languages

Permanent URI for this collectionhttp://localhost:4000/handle/20.500.12092/1883

Browse

Search Results

Now showing 1 - 4 of 4
  • Thumbnail Image
    Item
    When two Horses Become Minji na Ndengũ (Peas and Green Grams): A Cognitive Integration Analysis of Blended Idioms of Political Campaign in Kenyan Newspapers
    (Advances in Language and Literary Studies, 2019-07) Ogal, George Ouma; Gathigia, Moses Gatambuki; Maitaria, Joseph Nyehita
    Political campaigns are emotive activities that rely on language to attract the attention of the public. In fact, electioneering periods in Kenya are heavily laced with idiomatic expressions such that one would be required to use the interrelatedness between language and cognition to understand the utterances of a speaker. It is against this backdrop that the present study analyzes the cognitive processes of the idiom minji na ndengũ (peas and green grams) vis-à-vis the canonized form. The idiom minji na ndengũ (peas and green grams) drew a lot of attention during the Kenyan official electioneering period (May and October, 2017) and was extensively used in both the print and social media platforms. The study is anchored in three objectives: to categorize the idiom minji na ndengũ (peas and green grams) in terms of compositionality; to establish the vital relation between the blended idiom and the canonical form; and to interpret the blend using the Conceptual Integration Theory. The study employed the descriptive research design. The study purposively sampled the blended idiom minji na ndengũ (peas and green grams) which is a blended form of the idiom two horse race. Using content analysis, the study classifies and presents a diagrammatic conceptual interpretation of new knowledge based on metaphorical mappings to illustrate the emergent structure. A general finding of this study is that political campaigns create new meanings using deliberately blended idioms of war to improve figurative competencies. Further, one needs to immerse themselves in pragmatic inference in order to reveal the meaning of a blended idiomatic expression. The findings of this study imply that whenever the provisions of grammar prove deficient in unpacking certain messages, cognitive linguists, idiom theorists and researchers should apply the postulates of Cognitive Linguistics. The study concludes that blended idioms of political campaigns achieve creativity and novelty. Further, the comprehension of blended expressions requires the understanding of pragmatic inferences of the local context. The study recommends that for a better understanding of blended idiomatic expressions, one should consider the local contexts expressed in language.
  • Thumbnail Image
    Item
    Ushairi wa Abdilatif Abdalla Katika Kubainisha Utamaduni wa Waswahili
    (Journal of Linguistics and Language in Education, 2018) Maitaria, Joseph Nyehita; Wafula, Richard Makhanu
    Makala haya yanafafanua maudhui yaliyomo katika tungo za mashairi ya Abdilatif Abdalla kwa kuzingatia namna masuala ya utamaduni waWaswahili yanavyowasilishwa. Masuala hayo yanahusu namna wenyeji hao wanavyotangamana na wanavyoshughulikia maisha yao kwa ujumla. Kadhalika, ubainishaji wa vipengele hivyo vimewasilishwa kwa kuzingatia taijriba ya mtunzi kama mmoja katika jamii hiyo. Mashairi hayo yanapozingatiwa, inabainika kuwa; hisi za mtunzi zimedhibitiwa kwa lugha teule ya mafumbo inayojikita katika zaidi katika ‘lugha’ au ‘lafudhi’ yake ambayo ni lahaja ya Kimvita. Katika muktadha huu, jumbe hizo zinahitaji fasiri na maelezo kutokana na utamaduni wa mtunzi. Kwa mapana, mashairi hayo yana mwangwi unaogusia historia yataifa lake (hasa katika miaka ya baada ya 1963 nchini Kenya). Kwa maana hii, ushairi wa Abdilatif Abdalla unaweza kwa kihifadhi na kibainishaji cha vielelelzo vya utamaduni na uhalisi wa maisha ya jamii ya mtunzi. Katika kushughulikia uhusiano uliopo kati ya fasihi na utamaduni, makala haya yanaangazia baadhi ya mifano ya mashairi yaliyohifadhiwa katika Diwani ya Sauti ya Dhiki (1973). Mwishowe, inapependekeza namna mashari teule ya Kiswahili yanavyoweza kuwa hifadhi ya ‘viashiria’ vya ‘viishara’ vyatamaduni asilia katika jamii ya sasa.
  • Thumbnail Image
    Item
    Metaphoric Conceptualisation of “LOVE IS A PLANT” in Gĩkũyũ: A Cognitive-Semantics Perspective
    (Bulletin of Advanced English Studies, 2019) Gathigia, Moses Gatambuki; Maitaria, Joseph Nyehita
    Starting from the premise that a metaphor is a cognitive mechanism in which one experiential domain is partially mapped onto a different experiential domain , this paper examines the metaphoric conceptualis ation of “LOVE IS A PLANT” in Gĩkũyũ from a cognitive semantics perspective. In order to achieve this objective, t he study adopted the fundamental tenets of the C onceptual Metaphor Theory (CMT). An interview schedule was administered to 48 speakers of Gĩkũyũ by the researcher assisted by two research assistants of different gender. The data collected were subjected to the Metaphor Identification Procedure Vrije Universiteit (MIPVU) to find out whether the lexical items collected were metaphorical or not. Using four annotators, includin g the researcher, the study identified nine plant osemic metaphors which play a pivotal role in the understanding of love in G ĩ kũyũ. The study concludes that plantosemic metaphors are co nceptual phenomena which are integral component of the Gĩkũyũ cultural milieu expressed in language . Further, the study also notes
  • Thumbnail Image
    Item
    Dhima ya Ushairi wa Kiswahili Katika Kuelimishia Jamii Kuhusu Demokrasia
    (African Journals Online, 2014) Maitaria, Joseph Nyehita
    Makala haya yanafafanua dhima ya Ushairi wa Kiswahili katika kubainisha na kuielimishia jamii kuhusu masuala ya demokrasia. Ushairi kama kitengo muhimu cha fasihi, umekuwa ukitumiwa kuchochea usaili na tafakari kuhusu uhusika wa watu katika uongozi wa jamii. Aidha, umaarufu wake hautokani tu na maneno ya lugha iliyozoewa katika jamii bali kupitia kwa tamathali za usemi ambazo huhusishwa kwa makusudi katika ubebaji wa ujumbe unaowasilishwa.Hivyo, utanzu huu unakuwa ni nyenzo ya kuwaelekeza, kuwaelimisha na kuwazindua watu kuhusu uwajibikaji wa kushiriki na kuchangia kwa dhati katika masuala ya siasa na uongozi wa jamii. Katika miaka ya mwanzo mwanzo mwa 1960 hadi miaka ya 1990, serikali za mataifa ya Afrika Mashariki zimekuwa zikijitahidi kwa kiwango fulani lakini hazijaudhibiti mwafaka wa kuhusisha umma katika masuala muhimu ya kitaifa. Kutokana na mabadiliko asasi za jamii ya sasa, kumekuwa na mitazamo tofauti tofauti kuhusu falsafa na matarajio ya watu kuhusu uelekezaji wa maisha yao. Baadhi ya wanajamii wamekuwa wakisaili na kukemea baadhi ya vitendo hasi vinavyoshuhudiwa katika mfumo wa utawala uliopo katika jamii. Kadhalika, ushairi wa Kiswahili umekuwa ukiyabainisha na kuyafakari baadhi ya masuala hayo kwa jicho pekuzi. Kwa maana hii, suala la demokrasia linashughulikiwa katika makala haya kwa kurejelea baadhi ya mashairi ya Abdilatif Abdalla, Sauti ya Dhiki (1973), Alamin Mazrui, Chembe cha Moyo (1988) na Said Ahmed Mohammed, Jicho la Ndani (2002)
©Karatina University